P1603 Engine stall history
P1603 Toyota wish °Engine stall history Yaliyomo Maelezo Visababishi Urekebishaji wake MAELEZO YAKE: Engine ikiwa imewaka inakuwa na kigugumizi na wakati mwingine huzima kabisa ,na huchelewa kuwaka baadhi ya nyakati hasa ikipata moto SABABU ZINAZOWEZA KUSABABISHA TATIZO HILI 1.Kuvuja kwa hewa kupita kutoka nje na kuingia kwa ndani kwenye mfumo wa engine(mvurugano wa hewa) .2 Ubovu au kuharibika kwa Mass air flow sensor (sensor inayotumika kupima kiwango cha hewa inayotoka nje kuingia ndani ya engine) .3 Ubovu/kutokufanya kwa usahihi kwa sensor ya maji/coolant(sensor inayotumika kupima joto la coolant/maji 4.Kuharibika au kufanya kazi kwa kiwango kidogo kwa pump ya mafuta 5.Kuchafuka au kutokufanya kazi kwa throttle body 6.Kuharibika kwa ECM (control box) NAMNA YA KUREKEBISHA kagua...