Air/fuel ratio AIR-FUEL RATIO(AFR) YALIYOMO Ni nini? Inafanyaje kazi? NI NINI? Ni mchanganyiko wa mafuta na hewa unaohitajika kwenye chemba za piston ili kuwezesha mlipuko kutokea nitaposema mchanganyiko wa mafuta na hewa namaanisha ili engine ya gari (petrol engine)iweze kupata mlipuko vizuri(kuunguza mafuta)inahitajika kuwe na uwiano unaoendana wa kati ya mafuta na hewa ndani chemba za piston INAFANYAJE KAZI? Kimahesabu ule mchanganyiko wa mafuta na hewa unatakiwa uwe na uzito wa 14.7:1Kg....Nikimaanisha ili kuweza kuunguza mafuta kikamilifu ya 1kg inahitajika kuwe na hewa ya uzito wa ...
Posts
Showing posts from July, 2023
- Get link
- X
- Other Apps
By
3s
-
P0135 P0135 OXYGEN SENSOR HEATER CIRCUIT MALFUNCTION Kiujumla code hii inaelezea kuwa Oxygen sensor ina tatizo YALIYOMO Oxygen sensor ni nini? Historia ya Oxygen sensor Kazi ya Oxygen sensor Kazi ya heater Ni nini cha kufanya kutatua tatizo hili 01.Oxygen sensor ni nini? Ni sensor inayotumika kwenye aina nyingi za engine za gari na hufungwa sehemu ya exhale/exhaust ina waya nne(4) na chache zikiwa na waya mbili(2) ...