AIR-FUEL RATIO(AFR)
YALIYOMO
- Ni nini?
- Inafanyaje kazi?
Ni mchanganyiko wa mafuta na hewa unaohitajika kwenye chemba za piston ili kuwezesha mlipuko kutokeanitaposema mchanganyiko wa mafuta na hewa namaanisha ili engine ya gari (petrol engine)iweze kupata mlipuko vizuri(kuunguza mafuta)inahitajika kuwe na uwiano unaoendana wa kati ya mafuta na hewa ndani chemba za piston
NB:ila sio kwamba mlipuko hauwezi kutokea ikiwa kama kutakuwa na kiwango kidogo cha hewa/mafuta,kiwango kidogo kabisa kinachohitajika ni 6:1 na kiwango kikubwa kabisa kikiwa 20:1
Kama kiwango cha hewa/mafuta kikiwa kingi tofauti na kiwango kinachotakiwa Oxygen sensor itareport kwa ECM na ECM(Electronic control module)itatoa code ya P0171(System too lean),ila kiwango cha hewa na mafuta kikiwa kidogo na kiwango kinachotakiwa Oxygen sensor itapeleka tena report kwa ECM na ECM italeta code ya P0172(system too rich)
Comments
Post a Comment