Valvematic VALVEMATIC Injini nyingi zinazotumia mafuta ya petrol hutumia throttle kawaida kuruhusu na kuzuia hewa inayoingia kwenye chemba za piston ila hapa sasa kuna utofauti kidogo kwenye injini inayotumia mfumo wa Valvematic hapa hewa inasimamiwa na valve(inlate valve) Na hata hivyo sio kwamba throttle inatolewa kabisa kwenye mfumo hapana ila inatumika mara chache sana katika kufungua na kufunga .Mbadala wa throttle unakuwa ni valve za kuingiza (inlet valve) zenyewe sasa ndio zinafanya kazi ya kufungua na kufunga,hii inasababisha injini kuwa na ufanisi mzuri sana kwenye ulaji wa mafuta Pata picha Injini ya 2.0 Valvematic inaboresha ulaji wa mafuta kwa 5-10%,huongeza utendani kwa 10% na inapunguza uzalishaji wa C02 (Carbon dioxide) Toyota Corolla ya 2014 ni gari la kwanza kuuzwa Amerika Kaskazini kuwa na vifaa vya teknolojia ya Valvematic.
Posts
- Get link
- X
- Other Apps
By
3s
-
Air/fuel ratio AIR-FUEL RATIO(AFR) YALIYOMO Ni nini? Inafanyaje kazi? NI NINI? Ni mchanganyiko wa mafuta na hewa unaohitajika kwenye chemba za piston ili kuwezesha mlipuko kutokea nitaposema mchanganyiko wa mafuta na hewa namaanisha ili engine ya gari (petrol engine)iweze kupata mlipuko vizuri(kuunguza mafuta)inahitajika kuwe na uwiano unaoendana wa kati ya mafuta na hewa ndani chemba za piston INAFANYAJE KAZI? Kimahesabu ule mchanganyiko wa mafuta na hewa unatakiwa uwe na uzito wa 14.7:1Kg....Nikimaanisha ili kuweza kuunguza mafuta kikamilifu ya 1kg inahitajika kuwe na hewa ya uzito wa
- Get link
- X
- Other Apps
By
3s
-
P0135 P0135 OXYGEN SENSOR HEATER CIRCUIT MALFUNCTION Kiujumla code hii inaelezea kuwa Oxygen sensor ina tatizo YALIYOMO Oxygen sensor ni nini? Historia ya Oxygen sensor Kazi ya Oxygen sensor Kazi ya heater Ni nini cha kufanya kutatua tatizo hili 01.Oxygen sensor ni nini? Ni sensor inayotumika kwenye aina nyingi za engine za gari na hufungwa sehemu ya exhale/exhaust ina waya nne(4) na chache zikiwa na waya mbili(2)
P1603 Engine stall history
- Get link
- X
- Other Apps
By
3s
-
P1603 Toyota wish °Engine stall history Yaliyomo Maelezo Visababishi Urekebishaji wake MAELEZO YAKE: Engine ikiwa imewaka inakuwa na kigugumizi na wakati mwingine huzima kabisa ,na huchelewa kuwaka baadhi ya nyakati hasa ikipata moto SABABU ZINAZOWEZA KUSABABISHA TATIZO HILI 1.Kuvuja kwa hewa kupita kutoka nje na kuingia kwa ndani kwenye mfumo wa engine(mvurugano wa hewa) .2 Ubovu au kuharibika kwa Mass air flow sensor (sensor inayotumika kupima kiwango cha hewa inayotoka nje kuingia ndani ya engine) .3 Ubovu/kutokufanya kwa usahihi kwa sensor ya maji/coolant(sensor inayotumika kupima joto la coolant/maji 4.Kuharibika au kufanya kazi kwa kiwango kidogo kwa pump ya mafuta 5.Kuchafuka au kutokufanya kazi kwa throttle body 6.Kuharibika kwa ECM (control box) NAMNA YA KUREKEBISHA kagua sab